Can Jagathi or Jambass Do This

[MEDIA=instagram]CorlJRMAxjs[/MEDIA]

Onyesha raiyaa their business, or what businesses is Jagathi involved in? Jambass?

Nikipatana na maziwa za huyu jamaa nitanunua carton kadhaa to promote him.

Before 1st April wakenya wamekuwa wakikunywa nini? Watu ya Green park hawajakuwa wakipika chai?
Shop za maziwa ziko, sio kitu mpya io.

Nunua maziwa kama uko na mahitaji ya maziwa, sio eti kupromote mtu.

Acha wivu ukiona mtu wa Azimio akitia bidii in honest work that he’s proud to show. What business does jagathi do?

sio wivu, hakuna kitu special mtu kuuza maziwa. maziwa, salt na sukari ziko kwa shop zote kenya, ni vitu za kawaida. zimekuwa zikiuzwa tangu enzi za mkoloni

1680324372382.png

Ni wivu yakumaliza aise, mtu wa Azimio ameona kunaweza kuwa na nafasi yake kwa dairy industry, akawekelea hela zake, za wenzake na madeni to carve a space for himself kwa hii sector and proudly stands by his business na kuonyesha raiyaa what honest work looks like. Honest work ya jagathi na jambass ni gani?

Bora bei ikue 14bob,otherwise this ain’t bladi news. Fcukin siet

Hata kinyozi hakuna kitu hapo, na ulipishe 20. Ama huko you twerk kama Mwende?

Nafasi iko, saa zote, kwa wakenya wote.

Umeepuka kujibu swali

useless retarded thread :meffi:
sasa kibanda ya yoghurt ni kitu ya kusumbua watu nayo:meffi:

Ndio, mimi husumbua sana na mutura na thufu. Nasumbua zaidiiiii

Wewe hauwezi mind kutaste maziwa ya jagathi Iko na sperm flavor yake

They are bringing a new product in the market, which has to compete with already existing products, hapo iko kibarua ngumu kiasi.

Githunguri, limuru na ndumberi tumejaza factories tumeuzia wakenya maziwa for decades bila kusumbua.

It’s a start up, what are the odds against it statistically ?

Uhulu alimonopolize milk and dairy products acha sasa tuine

Kama Delamere still owns that brand name so each time uhuru sells delamere milk he has to pay delamare estates some money.

Wale hawana kakitu shout about monopoly huku watu are earning money without any sweat.

thursday Gachagua via Nairobi business community tunaenda maandamano hapo ENKANASA

Mwanaume ni kupigia debe jasho yake. It’s called marketing.

Nobody can say what njagathi produces?