Camping at Chyulu Hills - subscribe to the Youtube channel

Hapo naeda na mishale na labda I hire Ile Smith&atuoli ya jangiri @johntez_addi_gaza_ms coz you can’t trust them bushes , wezi nyoka na fisi

2 Likes

Beats spending 6 hours drinking, flirting and touching soft gals or maraya Kwa club

1 Like

Very boring vlog, Jamaa ni gari na camping gear anaonyesha na kulikiwa pilau njeri hata kichakani, No wild animals,scenarios…waste of data.

I watched it ikafanya nikimbie kuangalia bei ya cartop tent. It looks like nitajoin hii hobby sometime this year.

On contrary I prefer the latter, soft life till the end , wacha kina @gaza wapambane na TSE TSE flies and mosquitoes huko kwa bushes

1 Like