Nani hapa anaishi Kasarani anipee opinion ya hiyo place kukiwa mchana? Do normal people in the society kama mimi go there? Nilienda juzi na kagenz kengine kukiwa na giza na nilikuwa mlevi i think i could smell poverty, depression and failure. Kila mtu hapo alikuwa anakaa sijui aje, watu wanapigana, wanashout, wanadance kama wezi, agemates wangu wako huko wamekaa life imewachapa ama wanakaa wezi tu. Huyo dame alisema huwa anaenda huko nikaanza kuona yeye ni lanye…nitamblock.
3 Likes
@Sanchez11 aka @Matundaza_Nyamari ana stay kasarani hio maeneo… wacha akuje na maelezo zaidi
1 Like
Unasema upewe review ya place ushaenda ama?
Normal is ambiguous
You mean normal like you’re in an anonymous forum under sex and relationships; lanye hunting section in particular by men who 90% don’t believe in marriages but embobut and who think “kusalimiana” is quite good and,most men can’t talk to ordinary girls and request the wet crack due to lanye addiction.
That normal?Okay
4 Likes
Sanchez alienda wapi btw? Kumbe ningemsaka hiyo siku
1 Like
Niaje roho black, umepotea sana
1 Like
Meffi. Enda udinyane urudi home. Nothing else.