cameroon na mashida

andre onana amefukuzwa kutoka kwa squadi ya cameroon. kuna reports zinadai he didnt agree with rigobert’s (cameroon coach) choice of a certain defender which ended in a shouting match. etoo naye akafanya ile kitu akamchuja. right now andre onana isnt in the cameroon squad. na hii cameroon imejaa mashida sana. embolo’s mum also came forward and said she couldnt take more insults for his son who ditched cameroon for switzerland. embolo’s mum said that for one to play for the cameroon team he has to part with something small basically unahongana ndo uchezee team yako. this was also echoed by mbappe’s dad who said ile corruption iko huku africa ni noma. no wonder he switched allegiance and played for france. in europe, your skills and performance speak for you. ndo maana africa hakuna mahali tutaenda. akili hatuna. why would you take someone because of a bribe over someone who is highly talented. we have a jungle software. we need to be colonized again. we reason worse than a dog. even dogs are highly intelligent. we are lower than a dog.

Agreed, lakini hiyo statement ya colonized hapana bana. Freedom is something important.
Na hii Cameroon naona wananyoroshwa sana. Wapande train warudi home.

Useless team.
How do you concede so easily?
Waende home.

Cameroon meffi waende home huyo coach wao anakajamaa flani ako na ego.

hatuna akili walai.
na hii cameroon imejaa mabonobo sana. remember the 2014 world cup when the cameroon players were fighting agaisnt each other physically midway through a match. ndo maana nasema akili hakuna.

how could Mbappe switch allegiance yet he was born in France, do you know what you are writing?

Tembea 1st world, for just a week, then come raise your argument

:D:Dbora uhai

They are back:D3-3

yes he was born in france to a cameroonian father and an algerian mother. being born in a place doesnt mean you are a citizen there. aubameyang was born in france and even played for france’s under 21 squad before switching to gabon. according to mbappe’s father, mbappe had wanted to play for cameroon his father’s home country; upon asking if his son could play for the indomitable lions, a member of the country’s FA told him he has to part with a bribe for mbappe to play for the cameroon national team. that’s how bad corruption is.

True story kenye amesema mbappe akiwa mtoto mdogo he was offered to cameroon FA ya huko wakesema watoe pesa ndio wachukue kijana akaenda france and they took him without asking for anything.

Look no further. Pia hapa Kenya MYSA killed dream of money youngsters. Kijana ana enda selection ya kwenda Norway. Bado one step apenye. Anakatwa macoaches wanafix family members na sraykwin wao. That’s how MYSA crumbled. Kitambo late Nineties na Early twenties. Hao vijana wa ghetto used to terrorise academies za huko Europe.
Kuna siku they won Norway cup Two times in a row. Corruption kuingia KAZI ilikuwa ni kuokota.

Under 13 hubeba kikombe nonstop 1999-2007, under 16 ndio hulemewa, madem wa chacha hawaendangi mbali…

Siku hizi wanalimwa ni kama hio form ya kwenda Norge ili Isha

Huwa wanaenda bado but sio kama nyakati zetu, haina ile utamu. Kuna team nmepiga zido nayo [bongonaya] siku zingine hapo, kuna maboyz ka wasaba wame fly but sikuona game yao, hata nili dominate hio mid despite my age :D:D. Wale wanijui walikuwa wanasema mzae uko sawa :D:D hawajui mimi ni legend

Black bonobos are cursed creatures

Mnasema ukweli. FIFA gives each federation $ 1million per year which is about Ksh 120m per year . In Europe this money ends up in academies. In Africa this money is eaten by officials. Thats why Africa is useless. Hapa Kenya KFF officials have built properties kila pahali with the money they get under the table.

mzungu ni mtu mjanja sana. he has the brains and the IQ to develop something. give mzungu 2 years to develop a team and he will do it perfectly. ubaya sasa ni ati ukileta mzungu cartels watatumia tactics zote kumaliza yeye. ndo maana nasema we need to be colonized again. hatuna akili buana. corruption will kill us kabisa.

Haukuona Nigeria walikua waandike Sven then wachukue mshahara nusu .Shida ya Africa ni Africans
:D:D:D:D:D:D:D:D

[MEDIA=twitter]1591688787393974273[/MEDIA]

Do you wish to take back your stupid black-hating comment now that Cameroon scored the goal of the tournament?