How will a person purchase this game on XBox? Nimejaribu na MW2 na wanauliza vitu nyingi hadi bank card yenye iko attached to an address.
Have you tried to get it on g2a? Haezi kosa for xbox
nunua pc, instal activison store, steam ama epic… consoles are for dummies
Watu wa consoles si mnakuanga birrioneas.
Mimi kama crew ya Jack Sparrow I can’t imagine forking out 5-10k for a game especially in nabii’s economy. Uki add up hio doh yote umespend on games si ishapita 100k?. Consoles ni gharama banae.
Use MPesa Virtual card. The last game I bought on xbox I used Mpesa virtual card.
An easier way is to go to seagm or offgamers and buy a top up card using paypal then add to your xbox wallet.
Pale pirate bay kuna version ya porno. Unashoot mattercore inakua na shimo mbili
Mimi ni msee wa COD na Fifa pekee.esp multiplayer.PC Haijanibamba juu ya screen.Niko na 55 inch na soundbars kwa hao na experience ni poa
…