Californication

Best series ever , nimeamua hii weekend na rewatch hii series . then ni rewatch Nip n Tuck Then ni rewatch The shield then ni rewatch O.Z . hakuna cha fombe .

ango si useme tu umesota :D:D

4 Likes

Jana alipata tivitets from safcon.

1 Like

:D:D:D:D:D:D:D ambia yeye mbirionea awes sota

Unatwambia ndo tufanye? Huwezi angalia fornication in silence. Watu wengine… Nangoja udai sasa una californicate na mama Clichy

niaje mzee , tulia banaaa .

Hioa series nimerewatch a dozen times and I would still watch it again if I.had the chance, kali sana hio.

2 Likes

na hii wikii after kulipwa wikendi utakuwa wapi?

Seychelles

uwesmake umefika seychelles cause mimi niko madagascar as we talk

1 Like