Byob Smokies vendor biz opportunity

[ATTACH=full]336812[/ATTACH]

Heshimu birrionaires hatuko ligi same za zile ghasias zinapewa wheelbarrow na arap mwizi.

wakanyama dog meat inc.
expand @Big fire

Wacha kujianika, a tru birrionare haoni moja ya hizi anaona a thousand…then kuajiri wengine wamnukishie otunguu

Hii Corona utapea Mtu kazi ako na njaa akule stock zako.

Kati ya nyinyi wawili nani firionea pia mimi ajengwe

Sludgist uza mkia polepole without sumbuaring me

wacha ufala saitan

Nothing new or revolutionary there.

Smokey Trolley-4,000
Umbrella mpya-2200 (used 1500 or less)
Dust coat-1000 (less for mitumba)
Tshirt-300
Mask box ya 50-250

Total 7750. Hawa wakule 2250 ya bure???

They are not interested in your 2250. They want you to push their product for them at your own capital cost.
True self employment would be making your own smokies and vending those.

10k bila hata smokey packet mbili? kwani utauza trolley