Bye bye landlord

Wanted to do so akasema nimpee hio doo atafute plot

2 Likes

Hehe uko kama mimi siwezi ingia mpaka ni malize…kuna makeja naona kama hizo hii area…msee alishindwa kuweka hata madirisha akazimba na mabati…sai ako ndani…

4 Likes

Hata mafundi wanadai mbuzi ati ya kutoa kisirani ya kajo…kajo ni bad news kama uko na mjengo

1 Like

Thanks alot

1 Like

Ni huku tu mtaani but ni nasa strong hold…let me not disclose for now juu ya ma snitch…

3 Likes

Congrats man. That’s a lifetime gift for your family. Well done.

This is what I did I’m April. Am still finishing. Can’t complain coz the 40k I would be paying as rent fixes a door here or there. Hama, mjengo haiishangi.

TeamMafisi would want to see you walk ndńęthńę.:D:D:D

2 Likes

Hongera

1 Like

Hehe…pia mimi niko hapo soon lakini sina haraka…saa hii nimejinyima kujinyima. 80% ya income inaenda straight to the bank. I am only buying necessities. Mungu saidia nifike.
Congratulations brathe. Finishing najua si mchezo if you want the house to look amazing.

4 Likes

Last thing, I never told wife ,hii story hajui though nimekuwa nikimprepare zile za… unajua huku tunaweza hama anytime kama caretaker hapump maji all the time ,…kwanza time ya uchaguzi alimalysia shags ati anaogopa war, nimenunua maji sana…ingine ni ile Canaan mwitu ya babu nimekuwa namshow tunaenda huko pia… sometimes mawife huleta demands zingine na hajui uko kwa mission,…so unasave up to the last coin…

11 Likes

Buying materials polepole to cut cost. Quarry stones, ballast and hardcore are already on the site, Sand ,ribbed bars and ndarugo stones next to buy. Wewe nimeona hueki chuma so it wont be quite expensive

2 Likes

Chuma ni ngorofa,yangu ni kabungallow ka chini kwa chini…but nime learn ukibuild na mawe ya 9 chuma si lazima…but yangu nimefunga chuma kwa linto… either way unaweza save ama u buy the materials ukiweka if you are guaranteed of their security…

3 Likes

Nimekuvulia kofia mkubwa, building ata choo pekee is very demanding. Keep it up.

:D:D:D:D:p:p:p huyo ni pinky:D:D

congrats mjamaa.sasa tayarisha pesa ya finishing. Hapo ndio utaitana. mine nimebakisha tu tiles na rangi.

5 Likes

Thanks man…kujenga once sometimes inasave pesa kiasi,…alafu keja haina mikono mingi interms of fundi…

mimi kwanza nilikuwa mtu wa mkono nikijenga yangu

5 Likes

Mimi i did my mancave 2 years ago, ikaisha, i was hapa full time. What i learnt is kujenga depends on location mimi hapa Isiolo maze vitu are too expensive, from mawe machine cut 60 bob per piece, yaani pesa inafly, labour ndio ingine akuna waria kwa mjengo either you import from Meru watu wa mkono, but all in all nyumba iliisha…
Hii hapa
[ATTACH=full]121184[/ATTACH]

Then ata mimi just before election time i started kujengea mum apa gishagi Sagana, her retirement home my guka ndio ako ndani so mum awezi mwambie atoke so i had to do something, building in Sagana is too cheap with 400k already naweka roof nyumba ni 36 by 30 feet
Hii hapa
[ATTACH=full]121187[/ATTACH]
Already nimeishiwa, mfuko imetoboka but all in all atleast unaona something. Dont lose hope my brother nyumba itaisha polepole.

21 Likes

Congrats, this is a major milestone.

Congrats, there more joy in giving than receiving. Blessings pour upon you uweze kummalizia. By the way yako ni supuu.

1 Like

Congrats @gapcrew, alafu naona most talkers hapa wamejenga, Ala!

1 Like