By April there will be no Unga on the shelofus!!

Yaani Ile gugula iko kwa hii serigali is out of this world!
Unga inaisha within 2 months.
It will be 250 but his weekend!

[ATTACH=full]497067[/ATTACH]

Why are Kenyans obssesed with unga?

@uwesmake kuja ujibu hii @Kumbaffu

Greatness
[ATTACH=full]497069[/ATTACH]

I always wonder too. There are so many alternatives and that unga is not really good for the body anyway. Empty calories.

Alibaba amefanya.

Huku ni wapi?

Nyinyi ni @Kumbaffu .

Hii matumbo na kafirifiri kwa umbaaaaali looks just awesome

Nyama inapanda kwa butchery. Nobody complains!
Mayai na kuku ikipanda bei, hakuna mtu anateta.
Mchele, na unga ya chapati ikipanda bei, watu wananyamaza.

Lakini unga ya ugali ikipanda bei, watu wanazusha ati kutakuwa na revolution.

Is unga the only thing that Kenyans care about?

Ni kubaya wadau. watu wanalala njaa.

[ATTACH=full]497080[/ATTACH]

Wakati ya Uhuru tulikua tunakula tunashiba. saa hii ni njaa tupu. #KabaUhuru

https://pbs.twimg.com/media/FYLSuO4WYAA-oZW?format=jpg&name=large

https://pbs.twimg.com/media/CgbPH3UW8AE6T9p?format=jpg&name=large

https://pbs.twimg.com/media/E_WJnIgXoAQpGBP?format=jpg&name=small

alifanya

Nonsense. Kuleni mihogo ama viazi

Kagege gaka hii ni kitambo sana. Leta pacha za 2022 ikianza.

Njaa iko saidi

Watu wakule mchele, githeri, pilau etc. Kwani lazima mkula ugali pia nyinyi?

Saidiii

Mbillionaire Bado Niko na 120 ,90 kg bags kwa thitoo

Umefanya nikumbuke sijaenda lunch bado, Hoteli gani hii ina serve hii stuff? Hio matumbo inakaa delicious design ya kukata na shoka