BUYING NOKIA 2 SMARTPHONE

Wakubwa,nataka kubuy a budget smartphone under Kshs.10 000.

Considering getting the Nokia 2 sababu ya battery poa na pia inasuport VOLTE.

Nani atanifanyia na bei poa zaidi?

1 Like

Wachana na known brands. Login into Jumia and you’ll get yourself a better android phone. Alternatively you can buy Wiko Lenny 4Plus, na ubakie na change. snapdragon, kuja saidia hapa.

1 Like

Whatsup is going to stop support for Nokia na blackberries put that in mind !!!

Hiyo wiko iko aje?
beta?storage?4G Enabled?

hizo ni zile nokia mzee za symbian, s40 & s60 OS not the new android ones

2 Likes

HUWES pata Nokia2 na under 10k

afadhali tu ufike 11,500 ununue hiyo nokia 2 unataka hiyo wiko iko na 2500mah battery, no 4G only advantage iko nayo tu ni storage ya 16gb

3 Likes

Actually known brands are good ukipata shida wako na support
Tena updates kwa wiko ni non-existent

3 Likes

Hiyo Wiko nimeikataa

@Chloe leo umeniangusha kabisaa yaani of all the phones unaeza suggest wiko surely :(:frowning:

Pia Mimi.Leo Miss Zukambaga ametuangusha

1 Like

Ingia avechi ama ununue souq utumie process ya villager ole masai

1 Like

iyo Ram joh.

@Deorro pris pris kuja uokote sisi hapa chini kwa sakafu tumeangushwa mbaya saidi na miss @Chloe

was hoping to get good deals from talkers kama kina @syndicate ,@ Jaymoh @ ole masai

2 Likes

Hapo ndipo uchumi imenifikicha mblo

1 Like

ukinunua leta maoni…nataka pia lakini naogopa ku commit for that ram

It’s about the budget. The ferker asked bout a phone that’s below 10k and believe you me Under his budget Wiko Lenny 4plus will do. It’s a 4g enabled running on Android Naugat.

sawa boss

Battery yake sijaipenda.Nataka 4100MAh