BUYING LAND (LOAN MONEY)

Wadau just secured a 2.5m loan was thinking of buying a prime piece of land cost is abt 1.8
Whats your advice nkinunua nishasota already which other investments are out there ama niende nayo chap chap

io land wataka kuifanyia nini? ni prime land kwa nini?

Ingia club. Piga sherehe.

Venye @sani ameukuuliza, unataka kufanyia nini? Na iko wapi, usiwe unaingizwa box na broker ati ni prime, urudi kujuta. Alafu mbona unachukua loan ya 2.5M na shamba yenyewe ni 1.8M?

Relax, do not make financial decisions ukiwa mchangamfu. relax hadi ukuwe sober.

Loan uschukue kama shamba haileti pesa juu hio ni kujitia kitanzi. utanunua uchangamke wiki ka mbili hivi alafu uboeke juu pia deni itakuwa inakufinya, ifike mahali ujipata unataka kuuza shamba na kupata mteja sio rahisi, ujipate the same broker anataka kukusaidia kuuza hio shamba, akuje akuambiye amepata mteja wa 750K. Na juu umeskumwa uone haidhuru bora mbesha. Hasara iliyo aje. Wachana na deni kaka…

Loan ulikuwa unachukua ya nini

Ati ‘prime’ land… hakunanga kitu kama hiyo. Ukiskia mtu anakuambia vitu kama hizo jua uko karibu kugongwa.

Kuna vitu usiwahi nunua na loan. Vitu kama shamba (unless unataka kufanya nayo biashara), personal car (liability unless ni uber). Loan kama hautii bidii utapoteza doo yako na mali yenye ulibuy na iyo loan.

Loan money should be taken to make more money. Imo.

Kula hii pombe utafikiria sawa sawa

To buy the land bro was just asking if its a sound investment

Kwa ivo ni hasara

Thats why nmeuliza kama kuna better investnentt opportunities out there than hii shamba

There’s no problem as long as you are able to comfortably repay every month.

Iko karibu na tao naeza jenga ma keja apo mi future za watu kuishi

sawa tia bidii io 500k iko juu ikusaidie kulipa loan

So utalipa aje iyo loan seeing that haitakuwa inaleta pesa immediately? Siri ya loan ni ile kitu umenunua na iyo loan inafaa iwe inajilipa nayo. Kama ulinunua lorry ya mizigo iyo lorry inafaa ilipe iyo loan hufai kuingia kwa mfuko yako ulipe iyo loan. Sijui kama unanielewa.

Hehe, hata labda ashanunua.

Unajua 2.5m huku Uasin Gishu kuna places one acre goes for 500k. So 5 acres uweke thousands of eucalyptus trees, after 10 years give or take, bro, utakua birrionea. Just my 2 cents.

Kuja nikuuzie buroti maguta maguta hapo Juja Farm.

Kwani you got the 2.5M loan suddenly out of the blue…kitambo ufike kupewa loan haukua ume decide utafanya nini nayo ? Kubaaaafffff…hakuna kitu ya maana utafanya na hio 2.5M loan ikiwa uko brainless kiasi ya kuchukua loan without a clear purpose…who is your mother ?