Wakubwa,how can I ship a phone from these sites to kenya na inifikie bila kudeal na kra. I have been told I can use Aquantuo.com as shipping but I don’t know how to go about it.Help
1 Like
Tumia savostore. Wako na reviews poa. Pia mimi nimeona hapo backend US wako na offers poa sana za iPhones,mac books etc. Lazima niwajaribu. Just DM watu wa savostore watakuambia kama wako legit