Buyer's remorse? @MikeOck analia machoss after kupeleka watoto Wake Braeburn leaving him in a deep financial hole

@MikeOck peleka watoto wako Mirema school wacha pressure ya middo class bonobos ya kupeleka watoi shule za ma birrionaires.

[MEDIA=twitter]1623581695524978689[/MEDIA]

@Yuletapeli amekuwa akipeleka vijana wake pale Ruaraka academy without denting his pocket.

Cc @Kodiaga

All kids should attend public schools
not unless your kid is special like @Ngimanene na matharo

Such schools need someone with deep pockets msee. Well, such schools can help you and your kid cultivate valuable and long term networks. But in case you fall into hard times, your social circle will drop you. Next, bibi anaenda. Depression pap. Unajipata unaranda randa hapa Ktalk kama nugu.

Hawa ni wale wa you guy my guy…soft guys, easily manipulated by wives and friends…kwao social status bi muhimu

Hehe, wako shule ya catholic

Kweli kabisa.

Very true.

The guy lost a child pale Kitengela Int. Sch.

As a society, why not strive to make that public school functional ?

Hawa ni akina @Heke na @Yuletapeli, na @MTINGIZA KITANDA!!! wamefinywa makende na Bibi kweli kweli

:D:D sio rahisi, by the way nani aliwapatia the notion that mabibi husumbua? kwa ground mambo ni msuri. Mumeuziwa uoga kweli kweli

Malisaa hao majamaa kabisa

We said never show a woman you have money .always be broke and take kids to affordable good schools. Ukionyesha muanamke unaweza somesha mitoto kwa world class schools hapo dio utalijua jiji na labda waaguke mtihani Kama clichy who scored 117 marks out of 500 pale kayolee primary dumpsite school

huyu si ni ule dna wa ruka tu banjuka ju life ni fupi

Kujiwekelea status halafu update wife also comes from a family with means so hatambui kudowngrade afadhali hata aambie wazazi wake wampatie support.
I know a guy who had gotten accomodation hapo KNH doctors quarters and he even got the 3 bedroom houses. Very nice and spacious houses and literally in upper hill area. Rent was 15k which is insanely cheap when you compare quality of house and location. Imagine wife alikataa ATI yeye haezi ishi Kenyatta so he continues to pay keja ya sijui 80k 2 bedroom kilimani ama sijui wapi and commute to work

Hio ni masaibu ya average planteshen workers

Exactly. Imagine having 3 kids each unalipa 80k school fees which is 720,000 per year. For 10yrs from pre primary to class 8 umewalipia 7.2 million. But kule UK and HukuYues school is free so the mzungu uses that cash for mortgage, new cars and holidays. Kenyas middle class is taxed heavily to fund education, health and other services but they never use the services unlike their counterparts abroad who get value for their taxes.

Kenya education system is overrated expensive and shallow at best…kama bibi anataka mtoto asome expensive schools ju ya status na kusikiliza majirani hauna mtu apo… mtoto kutoka baby class hadi kitu six ama ata five ndio unafaa kumsomesha shule iko na walimu wako na akili ju ya foundation kutoka apo rusha yeye public asifikirie ye ni special na maisha isonge

The point we miss by several miles is that, every service you pay for and the Government is supposed to provide you with, like Education, Healthcare, security … is automatically double taxation.
This is where we should be directing our anger and fight at, demanding to know where the money is being diverted to.

Watoto wangu wanasoma makini