BUYER BEWARE - fb group

Elders hii group bado iko. Nilikuwa member pale kwa zukabaga lakini leo nimelog in siioni maze…ni kama nimetolewa, ama ilifungwa
Mwenye akonayo wekelea link tafasali

I think it is not active. One of the admins njeru i follow his page and seems he is busy

Ukiona response kama hii ujue umetolewa[ATTACH]468638[/ATTACH]

Ni kama wameizima juu mi pia siioni. Yule admin sura mbaya alisema wameenda break ya one week, sijui ni usafi wanafanya.
Anapiga kelele kwa back up page yao
https://www.facebook.com/groups/495254387347403

homo @captain obvious huwa na machungu sana na hio kikundi

Basi nimetolewa juu hio ndio ilikuwa the last thing niliona

Sande sana