Buxton footbridge

To be opened today by UK at 10am.

Weka pics

Sawa MMNN will be there

2 Likes

Mi pia nitakuwa

1 Like

Check out for the van with 4 satellite dishes

1 Like

Foot bridge kama hii ama?

[ATTACH=full]76534[/ATTACH] [ATTACH=full]76535[/ATTACH] [ATTACH=full]76536[/ATTACH]

Na hiyo foot bridge si ni mrefu bana…bado uko side moja lakini mseh atatoka Mtwapa akupate hiyo side unakazana kufika juu ndio uanze cross.

1 Like

I voted yes because CORDiot opportunism knows no bounds. You cannot twist the truth and claim the glory if you don’t show up.

1 Like

Why is UK opening a footbridge? Si hata MCA Wa Tudor anaeza Fanya hiyo job accompanied by a few Swahili dancers… or wait, did it cost a few billions?

11 Likes

Picha iko wapi,sisi wa bara hatuna habari

[ATTACH=full]76543[/ATTACH]

4 Likes

@Okonkwo are you feigning political innocence?

Just to put a footprint to stamp that ni kazi ya central gava sio hoho, just like the kongowea soko upgrade

4 Likes

tulia mzee

1 Like

Na ile underpass/tunnel si bado iko?

1 Like

Nakuenjoy. Unajua huu mwaka ni wa kuonekana na kujipanga.

2 Likes

Public Relations season 2 episode 4

1 Like

UK pia atafungua market/markiti…pahali KIENYEJI hukua…

1 Like

footbridge yawa, kweli elections ziko karibu. At this rate hata Pothole moja ikizibwa mtu ataenda kuweka footprint

7 Likes

Wake me up when Uhuru Kenyatta builds a bridge at Likoni and gets rid of those dangerous ferries.

I will attend the opening of Likoni bridge.

Footbridge ni ya local MCA na Women rep.

6 Likes