But why is it, just when you find for yourself a woman, others appear....

Hii maneno sielewi, sisi wanaume hua hatu “cheat” :smiley: we are just forced by circumstances.

Unapata mrembo, uko sawa na yeye then kidogo kidogo wengine wanatokea and want a piece of you. Is it that women have a 6th sense and also want to spoil for the other women. Hii maneno sijaelewa.

Same case when you have money, they jist come and spoil for your woman who you are loyal too. Kwani ni mazingaombwe?

Comments fupi fupi bila matusi tafadhali!!

Meffi post from a meffi man

Hizi ni fantasy tu. Nilikuwa na womens wangu na hawakuja:(

Inakuwanga hivo elder…ukiwa single no woman wants you but ukipata dem wanajileta ni kama laana. Its like they smell it.

“Aliye na kingi na akaongezewe, aliye na kichache na akanyanganywe na kipewe yule aliye na kingi”. Waliosoma " CRE" watakubaliana nami.

Politicians, Pastors, prostitutes, Police, polygamists… huzingatia hii verse sana.

… Hahaha with that name unakaa tuu mtu wa maandamano mjinga wa Raila.

… Sio fantasy joo mkuu, labda wewe hauna kakiruuuu :D:D

It’s human nature…wanaume pia hupenda kudinya bibi za watu…mtu unajua daily anakulwa na mzae wake bila CD na bado unataka kurudi apo

Inaitwa social proof. Think of how ukiona 2 restaurants. One empty kabisa, the other ina watu but haijajaa. You’ll go to the second one. That’s how women view you ukiwa na dem. Proof that hii restaurant ina food poa. Not to mention your attitude changes a bit. Hauna scarcity mindset since hauhitaji the girl vile so uko more laidback compared to ukiwa single your thirst is very obvious.

#1. Ukiwa na Dem inamaanisha ume kuwa tested and you are qualified that’s why wanakuja.
#2. Wivu tu
#3. Kujaribu kuona kama utampea marks ajione Ako sawa kuliko what you already have.

Usijidanganye they come to make your life difficult. Hio ndio game Yao. Uharibifu tu

wanawake wako na sixth sense, huwa wananusa success kwa umbali

… Very practical explanation Mkuu, makes a lot of sense.

… I also believe this, iko time dame nilikua na mchinjia aliharibu akalete beste yake man cave, next time ilikua huyo beste yake anakuja na beste mwingine and of course alirudi kudai… felt like a pro but later nikaona ni mimi nabebwa ujinga.

… Very true, well explained.

wanajua wewe ni kafukuswii beta male ukiwadinya lazima uwapatie hush money ndio wasivunje boma

Sometimes, it’s about wiminz feeling like they have to prove their “beauty” by catching the eye of a man who already has a wife. They feel good when the man shows them attention yet he already has a wife. Pale kwa hio akili, the woman gets happy when she feels she can shift man’s attention when the man is supposed to be in a life-long commitment.

By and large, it is the same spirit that makes women who are side dishes to always bother a man when they know the man is with their family. Hujawai skia mans hukula bibi ya wenyewe akipigia bwanake kutusiana ama kusumbua huyo wiminz na calls/ messages ili bwanake askie wakiongea kwa simu. Ni hio gender tu!

hakuna sixth sense hapo. inaitwa greed.

Hehe, hakuna kitu kama hio. Ni mwanaume kujichocha huwa vutia. Wakiona unazitoa zile mapeni watakuja mbio sana.

Pesa huwa haziongei kwa mfuko.

An example chukua mtu Ako focused oesa yake unaenda kwa investment na mujamaa zake ni za raha. Unadhani wataendea nani hasa? Watakimbilia huyo anazitumia mapeni zake kwa njia ya uharibifu.

Hata sio greed. Sahi ukipata mbirrions and show them how eager you are to spend the money, watakuja mbio sana.

Baki na pipi alafu ukule lanye on the side