Business Partner

I’m looking for a business partner tufanye agribusiness. Kama uko na shamba around Juja, Ruiru, Kabati ama Makuyu let’s talk business please. I have the technical know how on agribusiness. Mayouth tujengane.

Shamba kiasi gani?

Acre moja ni sawa

unataka kufanda niny?

Swafi sana,