Business Opportunity

Kila siku kuna watu wengi wanatravel kutoka bara kuenda Mavueni Kilifi kwa Nabii Ezekiel.

Io ndio Loliondo mpya. Mtu yyote ataoffer safari za Nairobi -Mavueni na accomodation cheap karibu na io shrine atakuwa tajiri.