Kenyans wanasema hakuna kazi…
[MEDIA=twitter]1631186355303723008[/MEDIA]
Kenyans wanasema hakuna kazi…
[MEDIA=twitter]1631186355303723008[/MEDIA]
Kwanza hapo China square watafanya grand reopening. Itakua full of extravaganza . Kamukunji business community watajidinya
They just got free marketing with this saga.
Sahi Kila mtu anajua china square.
I’ve always wanted to enter the manufacturing sector, hizo machinery niliona zinatoka bei rahisi huko china, shida ni taxation. Niki manage siwezi mind kuenda Rwanda, ama Tanzania nifungue biz na nijiite Patel.
I prefer fresh madafu though!
manufacturing what
Very good thread. It touches on what I’ve been saying all along - our lack of innovation.
Up to now, for example, no innovator has used the widely available boda engines to mechanise his farm. Imagine how many acres of maize, rice, etc, you would plant in a day using a simple mechanised planter powered by a motorcycle engine as they do in East Asia…
Kazi ni ku complain…
Take for example Mimi ni fundi wa boda I repair them kabisa area yangu Mimi ndio kusema I also sell their spares I can make a minimum of 2500 per day why would I go to shamba and struggle there ?
Degree muhimu sana.
Haujashika kile @FieldMarshal CouchP amesema na hii ndio shida iko Africa:kukosa kua na imagination and innovation at the local level. Your sub 70 IQ can’t think of other nduthi engine applications.
Degree muhimu sana
@Kahuni Maisha Shaina Sqaure inawapeleka are?
Ukifika pale Alibaba Kuna machine type mingi sana. Bado nafanya utafiti
very true son
True I won’t get value even if I innovate
You innovate something unique. You patent it. When you mass produce utakuwa over the moon.
Go for it chief. Pia Mimi am venturing in manufacturing happy ndio kuna real cash.
Tena if well managed hio hata wajukuu wataikulia.
Kweli kabisa kuna muhindi huwa ana make 10m. Akilipa watu wa kazi na material hakosi 5m. He swims in cash very simple guy. Huvaa jeans tsho na rubbers old school.
Very workaholic hutoka Kwa workshop Hadi Saa Saba usiku.
Wanakuwanga na background poa sana. They learn how to run businesses wakiwa young.