Buruburu nyuma ya jimlizer

End Month Tings, nani anatambua hii baze.? hapa si kunakuanga na ulevi kibao, pewa street kando.This weekend nataka kuland huko na maboys tukate maji kiasi.

Hapo ni kwa ma chokora na wajaluo wa kushindana nani ana gari, dem, pesa kushinda ule mwingine.

Kuja Kisima Sports Pub at Buru Buru Complex nikununulie pombe ya heshima na ukae na watu wako na heshima- utatoka hapo na contacts kibao za biashara. Huko kwingine you are likely to leave the swallow dens with a dent on your face:eek::eek::eek::eek::rolleyes:

3 Likes

:D:D

Mimi ndio hupeana dents, anyway i’ve been there before and it seems like a decent place.But ntajaribu hio base yako.

Kuja sunday afternoon tuone game ya arsenal na man-u. If you are a well behaved boy (that is, if you are buying drinks), i might hook you up with a hottie to entertain you that evening- on my bill…

pia mimi hio ndio base yangu shoti mzito

Hapa ndio base yangu pia, lakini jana nilikuwa mtaa ingine, noma ya ufala ikatokea juu ya game ya arsenal. East or west, home is best…

What would you expect from a person who can compare any…place to pewa street?

Huko Kisima kuna mchele?

Hata pilau hakuna, wakionekana hao hutolewa mbio kama dogi…

1 Like

Enda Kagina umwambie Ben akuchomeshee nyama fiti

Unatambua pewa?? wewe ni ordinare na mtu kucheza pari