Buried Alive for 40 Days

Wachimbaji wadogo watano waliokuwa wamefukiwa na kifusi katika machimbo ya dhahabu ya Nyangalata Oktoba 5,2015 wameokolewa wakiwa hai baada ya kukaa chini ya ardhi kwa takribani siku arobaini na moja (41) huku mwingine wa sita akiwa tayari kashapoteza maisha.

Ni jambo ambalo sio rahisi kuingia akilini na kueleweka binadamu kukaa chini ya ardhi kwa zaidi ya siku arobaini lakini watu hawa watano walijikuta wakiishi kwa kudura za mwenyezi mungu
[ATTACH=full]21255[/ATTACH]

Miracles still happens

Yes indeed, guys discovered an underground stream.

walikalishwa na maji kama samaki?lahaula makubwa haya

Maji ni uhai, without that stream the guys would have been dead in 10 days

1 Like

HUYO JAMAA WA LEFT ANAFANANA NA @Web Dev

4 Likes

Akikula wet fry anaa 40 nights ndio tutafanana. :D:D

1 Like

kwani maji ni nini kama sio wet fry

those were god guys, a couple of cases guys resulted to cannibalism. Two cases one on the whaling ship essex and donner party watu walikulana.

Ile nyumba ya Murungaru iliyoporomoka pale river road Kuna msee even after days za evacuation n hopes of gettin a survivor were almost nil, was heard knock knocking under the rubbles. I shudder every time I think of it

atheist pliz make us adastad that there is no GOD

For those who weren’t in class tukifunzwa Swahili and now its a big deal…Here’s direct translation to English…

DIGGERS SMALL FIVE WERE AT (WAMEFUKIWA - no idea) WITH A DEBRIS AT A QUARRY OF GOLD IN NYANGALATA OTOBER 5TH 2015 HAVE BEEN SAVED ALIVE AFTER STAYING UNDERGROUND EARTH FOR CLOSE TO FORTY ONE DAYS THIS SIDE ANOTHER OF SIX HAVING ALREADY LOST LIFE.

ITS AN ISSUE NOT EASY ENTERING THE BRAIN AND UNDERSTANDING HUMAN BEING STAYING UNDERGROUND FOR MORE THAN FORTY DAYS BUT THIS FIVE PEOPLE FOUND THEMSELVES LIVING (KUDURA - no idea) OF ALMIGHTY GOD.

1 Like

Wamefukiwa and Kudura, Google has no idea

link

How about the stench of a rotting body?

Bwana asifiwe!

This guys just a second chance God is truly merciful.

And he wasnt merciful to the one who perished how nice of him.

1 Like