Bunker buster bombs will rain on Iran soon : prophet owuor

https://x.com/KenyanSays/status/1909280899054645253?s=19

Kumbe @messiahette ndiyo prophet owour

1 Like

Iran iko na ability ya kujitetea wakikuwa attacked.

Na vita ikitokea, yule mtu ataumia zaidi ni mkenya.

Country zile zengine zote za Africa zimejipanga.

Northern Africa wako na mafuta. Southern Africa watapata mafuta kupitia ile side ingine ya West Africa.

Mkenya akikaa wiki moja bila meli ya mafuta kudock mombasa, mtakufa njaa

2 Likes

Kwani tunakula mafuta?

Hii koti mrefu ya mightiest prophet ni pesa ngapi?

sasa io siku ikifika ndio mtarealise tunakula mafuta

1 Like

io huitwa apostolic suit na inakuaga convertible. ikiona poverty inakufuata huwa inabadilisha rangi

1 Like

Hii mbwa si inyamaze Tu in name of god ?