Bungoma residents insist they must crucify Yesu Wa Tongaren by all means necessary

[MEDIA=twitter]1643883688201973761[/MEDIA]

[MEDIA=twitter]1643957209955483649[/MEDIA]

:D:D:D

Hehe, nonsense. Si aende tu UG Easter ipite!

:D:D:D:D:D:D

:D:D:D watu hunijazz

Lazima afufuke…where do i sign up as one of those soldiers that arrest him? Anafaa nyahunyo mpaka ajiite.

:D:D:D

asulubiwe awache kubeba akina wephukulu shikwekwe malenge:D

Hao si ni KDF? huko Pokot bado watu wanaibiwa

Even Jesus of Nazareth couldn’t have his crucifixion postponed, though he sweated blood. Beware what you ask for:D

:D:D:D:D:Dmbaruya

Luhya nation is heaven… Maybe paradise ni Bungoma… Jehova Wanyonyi, Yesu wa Tongaren and Yohana Mbatizaji

Watu wanatoka kula chakula mahali

:D:D:D:D:D:D

Venue itakua pale kanduyi Deb. @uwesmake the executioner ako tayari :D:D:D
Ruto must have sent those military guys… He likes to associate with religious conmen :smiley:

@uwesmake hakikisha Lichoti Luvanda hasau nyundo na misumari

:D:D:D UG ndio wafuasi wa hio Kanisa wamejaaa

:D:D:D
Basi labda arushie D- kakitu, hio ceremony iwe postponed to a more convenient time like next year, then he can change his name and location in the meantime.

Niko Webuye saa hii naelekea Tongaren kushuhudia.

Liwe Liwalo, the way of the cross lazima ifanyike pale Tongaren.