Njaa inakimbiza mabaluhya bila huruma. Juzi nmeenda kwa boma fulani uambia mtu aanze kupalilia mahindi kesho yake nikapata hana any bana. yaani yeye bibi na watoto wanakaa tuu kwa hawana form ya food. Halafu kuna jana nikitulia a small kid came with a bag telling me that her mother has send her to get food from me. Nilijaribu kuuliza mama ndio nani akataja jina. Technically ni mtu sijui.
Most of them claim they are waiting for August bei ya mahindi ishuke. hawajui we are under conman nabii whom they voted for.
Funny thing in western it is raining heavily, naskia Kiambu kumeakauka