Bungoma High Court temporarily Suspends 16% VAT levy on fuel

After a very long time my home county Bungoma aka 037 is trending for the right reasons and not ugali, ingokho poshomills, non-carcinogenic wheelbarrows or the helicopter commando as Githeri media has made you believe.
A high court sitting in Bungoma has granted temporary orders barring the 16% VAT levy on fuel products.
https://www.the-star.co.ke/news/2018/09/06/high-court-halts-16-vat-on-fuel-products_c1814675 [ATTACH=full]191741[/ATTACH]

tuliona:D:D:D:D

Umesherewo…

Mzee pigia wajukuu hekaya za rongo na kweli polepole

kelele huko …>>>>>>

Nilikuwa Rongo nikiwa kijana

ambia mjukuu wako hio! tumbaff!

[SIZE=7]TULIONAAAAAA!!!
[ATTACH=full]191743[/ATTACH][/SIZE]

tumbaff to you too!

Midget,hii tuliona kabla pilato aoshe mikono.

Boss wewe hutoka Bungoma wapi?

Amukura high?

he he he…geography yako iko askew my friend…Amukura ni na huko busia kwa akina Mteso fulani ambaye husema ni muwanga hali Rongo ni zaidi ya kilomita mia upande ule mwingine kwa akina Mod fulani na Mkisii fulani.

Nani alijazaa full tank. @128? Kuja nikushow vile mimi hucheka

unajua Onzee? around there

Yeye ni neighbor wako .

:D:D:D @Abba kuom kiasi

Unacheka nini shetani