Bumps everywhere

So the last time I was in Ocha,barabara main ya kuingia gicagi ilikuwa imewekwa murram,so it looked all smooth,wide and new.
I noted watu wa nduthi racing,na pia magari zilikuwa zinakimbia sana na ni place iko na watu,viosks,watoi wanapita wakitoka shule and so on.
Leo nimefika huko,nikaingia hiyo njia after kuwacha A109…speed ya 40-50kph but in like 100mtrs nimegonga bumb nikasikia vitu zilikuwa boot zikicheza ndombolo…kumbe nyang’au iko na kiosk hapo iliweka bump ya ku slow down motorists,ofcourse hakuna sign.
From there nimehesabu more that 15 bumbs in a distance of less than 1km.Halafu after that hakukuwa nazo coz ni shamba kubwa ya late Mzee Moi.
Kila mtu ako na kibanda ameweka bump.
Kiulizo ni,kwani huko mashinani hakuna mtu wa ku regulate such things…So kila mtu atafanyaga vile anataka.
Sikatai bumps lakini hizo ni mingi sana,ata mtu anaboeka kudrive.
Nimepoteza mayai kadhaa hapo na sijakagua kama gari imevunja kitu…
Hasara tupu juu ya bonobo kutofikiria

Hakuna watu wa kuregulate speed so mbona kukuwe na wa kuregulate bumps?
Ion, Leo uko na moto mingi unajaza threads kila mahali. Kwani unanyesha shoga mkuu?

Ahhhh sema tu unanisalimia,sijasahau date yetu…Leo nilikuwa firiiii ndio maana unasikia niko 250kms away from Nyairobi
Lakini kwa comment umedinya point…

Si wewe uliniambia kwenu ni pale Githioro karibu na Lanet. Kwani kwenu ni Bahati pahali kuna old bluegums?

Githioro ni kichinjio iko hapo…kwetu ni hapo mbele unaingilia On your right ukienda Dundori just before Anestar Boys…ukiingia kidogo utapata Anestar ingine ya gals…uende na hiyo njiaa kabisa upite kamto kadogo then utapata hiyo njia nasema

Near Bavuni secondary school?

Hapana sina huko.

Side ya kwenda Ngorika?

Enda tafuta Anestar Boys yenye iko hapo past Githioro on your way to Ngorika.

[ATTACH=full]449290[/ATTACH]

Kumbe jinga hii umetoka ndoundori Kule huwa mnakunywa chai na gumboots?

huko tuna akili kuliko watu wa Gatina kwenu

wameeka ivo customers wakuwe wananunua wakiwa kwa gari

Niko na rafiki yangu huko anaitwo Bishop Suleiman Kimani wa kanitha ka indi…cant remember exactly where his home is but ni hiyo maeneo ya huko kwenu tu…could you be knowing him?

Hiyo jina sijaisikia,I also avoid knowing such characters huko coz nitabandikwa jina mheshimiwa ndio nitumiwagwe invites za harambee

Wewe rushia watu wa kanisa kakitu pia wao wakule,ukienda jiji usisahau kijiji…
He is a very big farmer of mawaru,makafishi ,minji,mikohoro na kondoo,his farm must be around 50 acres so huyu hawezi toanisha wewe sana,amekafunga kweli kweli…will get the name of his home place i tell you.
But baridi huko kwenu is life threatening:eek:…wueeeeh!!!

Ukiona bumps mingi hivyo, lazima hizo ghaseer za nduthi zili-cause accident kadhaa na watu wakakufa.

:smiley: :smiley:

Such bumps zimewekwa coz fools like you wanapenda ku speed. Blowing up dust all over. Yaani vienyeji wameoga wanatokelezea wamepiga luku kisha wewe unakimbiza jalopy vumbi kila mahali. Also inazuwia dim wits kugonga na kuua watoto wa shule

Unataka mkutane akutombe kuma yako nono githioro?

It’s normal kwa all Earthen roads ndio tusikanyage kuku za peasants zikivuka barabara.