Bukhungu stadium in Kakamega under construction by Oparanya has collapsed!
[ATTACH=full]66147[/ATTACH] [ATTACH=full]66148[/ATTACH]
kuna watu wamekula chuma…hata slab haikuwa imemwagwa!
The sheer level of looting in the counties is scary.
Mjengo haitambui short cut
cc @Jakoyo si u ask ur god to call a press conference, ama this he doesn’t notice?
sheer stupidity. yaani even frm the pics I dnt need tobe told hizo chuma ni substandard
Ni Ya Hench/Hatchetman…
@spear hebu Anika Jina ya contractor hapa,
Afadhali wangepea mchinku.
The whole structure should be demolished.
Naona kama ilikuwa imemwagwa lakini mafala walitumia BRC kayole-style bila ties na hooks. Kama mfuko mmoja wa simiti ni 50 KG, ongeza maji, kokoto na mchanga, na huko chini ni tumiti twa kutafutatafuta…
There must be a shiny eye in the mix, or the contractor’s biggest previous project was to make ugali for a 500-person wedding party.
It ought to look like this, dense and layered:
…or a large political funeral…
Kumbe pia kakamega COUNDY kuna tu mfupaspective edibles
Hata siongei…
I believe Babuon will get to the root of this. He will definitely organise demonstrations because this is theft from Supporters of CORD.
hata fishing boat ya 001 itasink tu…MM ataleta news hapa tu…
Hehehe, kwani imewekwa engine ya tuktuk?
Y6 for pillar?
Taimajini
Hehehe.? Brarre fwakkin.
Babuon ametokea hapa aje?
Enigway, since he is responsible for everything, chain ya pikipiki imesnap nikiwa Nanyuki. @Nastybreath, mwambie Babuon anisaidie tafadhali.
I think hapa science ni important sana in the whole process of constructing the damn thing… Kenyans are good at mediocrity, ignorance and cutting corners… otherwise engine failure or other failures are likely to occur when our poor fishermen are far in deep sea…alafu most fishermen ni ma illiterate they will have no immediate measures…so hapa nikuenda kwa baba ki roho safi…
It most likely collapsed with wet concrete on top.
:D:D:D