Buju banton and hot Yellow yellow damsel

[ATTACH=full]235637[/ATTACH]

Sasa ii ndio nini

Coming to Kenya for the conc roots event. Alitoka jela

Nirushie slip moja io upusu ingine apana saidia mimi

mi dey yah musically

Hiyo dub tunaenda, naieleweke

Leave BUJU out of your shit. Meffi wewe utakula shoka. Mkunduo wewe.

Mbona unashika nare hivi chief? Wacha mzito buju akule vitu. [SIZE=1]Usisumbue kijiji like a peasant. [/SIZE]

Huyo si ni Rihana.

Yes it is

Umeffi!

Enyewe watu wakisemaga kuna light skins huwa siamini. Lakini hiyo contrast ya mdomo kauka na my girl imenipea ile perspective nilikua nahitaji:D:D

Kuna mat ya Githu 44 ilikuwa inaitwa Buju hizo miaka za 2002. Ilikuwa inachuna mbaya Sana. Ilikuwa na rangi ya yellow na graffiti zingine mofaya kaa shiet!

Ilikuwa orange.

Yep. Ni orange. Kumbe unaikumbuka?

Nissan homy e20 model ilikuwa inakaa hivi.[ATTACH=full]235720[/ATTACH]

Eeh. Kitu namna hii!

Ilikuwa na debe kuruka ilikuwa KAL. Bla bla bla