Building progress :::mafundi wengine akiii

We had to demolish one wall ilikuwa imeinama , the fundi is my fwd for many years tukiwa highskul… I felt sad laying him off for the poor building skill, but I had no choice akiii , sahii itabidi tumewekelea mawe za lintals Tena .,. This day 9 on site …[ATTACH=full]340238[/ATTACH]

Kazi safi mkubwa

Nitawaita kufungua nyumba

Hii Ni kitu gani hii,even a pit latrine deserves better

Walai I am envious. You’re living or dream slot of us younglings.

Ni bungalow ya hustler …

Wapi pit latrine yako ghasier tucker tucker

Wachana na huyo keyboard warrior

Big ups on your project noogle

Ring beam. Lintel ni mjamaa tofauti

Sasa hii ni mjengo ya aina gani,tukianza kujenga ulikuwa kwa diapers, naweza patia wewe paints , roofing sheets, windowa and doors,yaani I can fukin bankroll hio shanty without feeling anything

Mundu utoi ungi amwitaga kamundu

Kiwanja ulinunua mwenyewe au mzae ndio alikuachia?

Good work bro. My two cent though it maybe late. Ungechonga hizo mawe. Also you will spend more to do the finish work juu ya poor workmanship

You get what you pay for.

Kwa sababu unajenga nyumba ya kuku hatutapumua?

Tulimwambia hakuskia. That house will have poor finishing, na itamkula cement mob time ya plaster. The Walls zilikuwa zinakaa tu horrible nikama huyo fundi hajui kabiru ni nini, im not surprised ilibidi abomoe aanze tena.

Conclusion: This guy is cutting corners to save money, this will be one ugly and dangerous house.

To me, this is shoddy work. I try to understand why you would spend money on cement, sand, ballast and water yet you can bring in a vibrator to compact those columns and beams. All I can see is honey combs upon honey combs. Now, what protection have u offered to the steel rebars inside concrete? They will just rust! Halafu why do u engage f“rm hands as fundi? which fundi builds without plumb Bob and builder’s line?? Boss, u have some money but u are wasting it!

Machaa mi niliacha ulienda Hell after being pigwad ngeta by ile noose… Kumbe huko Hades pia kuna buroti maguta maguta na ushaanza pigsty? Brimstone hazichongeki? Anyway sio mbaya, piga plaster sio lazima imeze too much nyumba sio kubwa ivo to make significant cost overruns vis-a-vis kuchonga hizo mawe

hio ni bangi umepanda kwa site…