Building progress day 8 on site

Was a hectic day , 1st mbao za kufunga lintel beams hazikutosha , nasitaki kukodisha mbao, , luckily I remembered Kuna mbao nilibakisha nikiund shelves za duka , … Kidogo Tena Kuna D8 na mawire flani sijui zinaitwa aje nimesahau , oooooh fucking mijengo, nikikumbuka will tell u but nizakufunga rings za beams …

Wacha zile mbao zitutese kuzifunga juu ndio chuma za lintel zilalie, Kuna mawe kadhaa ilibidi fundi arudie mawe ya kamba moja wachana nayo ((((m using this since m setting a gas shop there)))) security …mawe ya machine wezi wataingia rahisi Sana…

Nakwambia koroga imeisha saa mbili na nusu usiku [ATTACH=full]339135[/ATTACH]

Great progress. Piga picha mchana.

Binding wire

Good job.

Bidii mzito

Juzi niliona kuwa bamboo poles have more tensile strength than chuma za Y6-8-10-12…all u need is binding wire… Word! from scientific engineering tensile strength tests! Youtube it.

Unaweza koroga columns na bamboo hao iwe sambamba more if u dont have archaic building code red tape na hao sio ya rent…

I like sustainable creative innovative DIY home building…thats the future…innovation and flexibility beats rigid historical building codes.

Hongera

2 megapixel na shamba ya mzazi. Tombwa Sana ghassia

Wivu ya Nini Kaka ? Tia bidii maishani , it’s all a matter of hard work n dedication

Hehe ati wivu… Peanuts

The reason steel is used with concrete is that the two form a very good bond, and act as one element when force is applied. It is likely bamboo na concrete does not bond that well and therefore not popular as an alternative material.

Sasa chomelea dirisha na mlango

Wishing you the very best NV

Kazi nzuri mûndû wa Thika