Building materials - Ballast ,Sand & Machine cut stones

Actually bei huwa hiyo ya machine cut stones. Ya perimeter fence ata unaeza tumia ya 18-22 bob

As for cement morning side can you supply with 220 bags of blue triangle cement @ ksh580

A trick or two ndio kama hii??

[ATTACH=full]154778[/ATTACH]

Lakini hiyo mchezo ya tonnes huwa trix sana

accompanied by brokers? sisi tunaenda garrissa road sasa,

Alone. I met her myself. Ni vile I decided later to use mawe ya kuchonga and not machine cut.

wacha tunukishe kitunguu ngombe hii,sasa mwambie kuhusu labour juu ndio unatime huku ukituharibia biashara,wewe ni meffi

hapana bypass mabroker, si lazima awe anakamua wewe anaweza kuwa anakamua mwenye kware,ukimwitisha mia nane ana work in cahoots with wale watahesabu kwa ofisi analipa mia saba anakula mia

Huyo ni mikora ask inspector nguriri

And if I may also ask Kuna suppliers wa Wall Pannels hapa zile hujenga pre-fabricated houses and is pre-fabricated built house cheaper than a stone built one or vise versa ? following for myself .

Currently my work load is crazy i can hardly take an extra project… i just want i talker to enjoy the process of building his house.

ndio jamaa analetewa ballast anaanza kuihesabu akitumia cubic tonnes ,ukitumia cubic tonnes utapata hata Isuzu tx imebeba karibu 14tonnes na ni gari ikienda sana haiwezi pitisha gani tisa

wacha umama

hii mason randy huwa nugu sana,haitaki ninukishe kitunguu,

That trick so damn at kama wewe ni fala aje you can tell the bucket capacity as compared to what has bn offloaded doesn’t make sense. Last year some idot tried to pull this trick on me. Long story short we settled the matter @ the police station and i won.

Alikuona Fala. Maybe unakaa Fala. Hehe

I fucking detest broker’s any chance i get i will screw them over. Bure kabisa.

Hehe…ata utumie handle zako zote i will make sure he gets the best deal without the middle man .saitan.

lakini kama hakuna kitu una gain kutoka kwa thread si uwache MTU anukishe kitunguu,hata angenipatia hiyo order unafikiria ninge mubroke more than 30k mpaka nyumba iishe?wacha kuwa hivo bana ,brare fukin

hii ni fala tu,imagine inanitegua ndio ipatiwe za macho na ule atapatiwa kazi ya kusupply hizo material, tukikutana unaweza jua haijui