[ATTACH=full]191442[/ATTACH][ATTACH=full]191443[/ATTACH]
While coding tweaks for clients or reading programming ebooks i like to have fun. So from a stake of 49 bob haya ndio matokeo. Pesa ya muindi. You win some you lose some.
I challenge myself to stake 500-1k per bet…challenge accepted.
If I win or lose bora uhai.
Disclaimer: Only bet what you can afford to lose
Hakuna mtu haezi taka kustake kama 2-5k. Source ndio inakuwanga shida. Alafu stake izame tu hivo na ukija hapa Ktalk unaona mbica za Karauri na waindi wenzake wakibawl na pesa yako. Inaumisa saidi sana sana.
As long as the strategy works and the bets mostly wins you can increase stake. Ndio maana nimejipea challenge plus pesa ni ya muindi. My initial investment was 49 bob.
My strategy is just for fun. Na nipate pesa ya Jabberation na WD40.
Heri kidogo kuliko pesa yako iende. That’s the strategy am using I started with 500 but tiyari punch yangu imerudi saa hii nachezea faida ya Muindre ya 800.