Buffalo given RKOs by Mama Elephant after bullying it's baby

Ati inachokoza mtoi wa elephant.
[ATTACH=full]71100[/ATTACH]
[ATTACH=full]71101[/ATTACH]
[ATTACH=full]71102[/ATTACH]
[ATTACH=full]71103[/ATTACH]
Ndio kuamuka mzito ameamuka

9 Likes

weka video

Sina

Imechapwa sweep kali…which reminds me zile masweep ulichapwa on Friday night:D:D:D:D

6 Likes

Hakuna sweep nlichapwa . Those were fake allegations…burr if wanna believe those claims do it IDGAF:D

ION:feck this hangover hic*

heheheehe dawa ya Ndovu inakuwanga Rhino . but hiyo Spear imepiga mtoi wa ndovu ni kali pia

1 Like

Hizo ndovu sidelines ni kama zimecheka kudedi

4 Likes

dont mean to spoil but 1st n 2nd pic quite different from 3rd n 4th but same story though

1 Like

Link pls.

If not for superior intelligence humans wangekuwa wamemalizwa na hawa beasts kitambo…

Sema Chinese wangekuwa washawamaliza

This is one of the buffalo’s biggest regrets in life hehe