Budget phone

Wadau niambieni ni simu gani nawezanunua ya backup ya kuingia net na matumizi hapa na pale ya Maximum 7k.

Kufa na Infinix ama Tecno unless uongeze pesa upate simu ya maana

What Tall Animal Everywhere has said.
7k ni ligi ya Tecno, Infinix, iTel, Samsong, Phone etc.
Unless ununue soko nyeusi after wale vijana wameteka watu.

Hii phone ni backup so simind ni ipi but infinix hapana.Afadhali Tecno au Itel.Ndio nauliza specific model.

ziko kibao. Tecno F1, Itel A32F, Extigi V18, Nokia1

Figsed

Nunua Nokia 3310 kitu safi sana unatext ukiongea na wasee bila kuangalia. Afazali io badala ya Itel na kina hinifinigx

nunua simu saba hapo kwa corner ya kimathi na kenyatta avenue karibu na nation center

OPPO A3S…but ongeza pesa ifike 15k

Nunua Nokia 2 ama 1 hio itakuserve vizuri sana

Hizo simu za maana unasema hukupelekea mkojo kwa choo kama umelala usiku?
Am awake right now coz I had to wake up and pee?

kumbaffu!! kwani ni wewe ndo umeuliza?

I have been looking to try out the Cubot J3 Android Go phone that costs 6K. Inakaa a good backup phone, although iko Avechi na hapa watu walikataa kununua huko (but I buy from them nonetheless). Maybe unaeza buy hiyo and tell me more about it.

Specs here: https://androidkenya.com/2018/06/cubot-j3-release-date-in-kenya/

What is wrong with infinix apart from the fact that it is cheap??

I wonder… Napenda hio simu coz nikiwasha 4g 2hrs, naweza kuitumia kama pasi.
Saves electricity na pesa ya kununua pasi

Hii nikama kuambia jamaaameenda kubiy vitz aongeze 400k anunue premio

:D:D:D

Leta 12k nikuuzie xiaomi redmi note 5 pro. Snapdragon 636, 4gb/64gb memory.
Drawbacks:

  1. Screen imecrack. 2 lines lakini I have been using it for 3 months with no issues
  2. No lte band 20 (i.e itashika tu lte ya safaricom)

Hii ni daylight robbery

Unda screen kwanza:D:D