bubbling tyres

Tyre ikipata mimba
[ATTACH=full]206143[/ATTACH]
cc: @introvert

Hi ni singo tyre?

@kativui mweene anaimezea tu mate akiwika “Akiau!” Alafu anachapa kidole kisha anaiuma…

:D:D
Eish.

Unaipeleka maternity kwa mkunga @introvert

hata hujui ku-frame picha

Stop looking for things that were not meant to be. Or were they meant to be @Meria Mata

Iko na nundu sasa ni kuburst tu.

Piga hapo mahali gator hadi mwisho wa safari

ni ngeta

https://www.youtube.com/watch?v=yEtdHOOPcRU

Hiyo nundu inatoa akala pair moja na nusu

@uwesmake what have you done? hio mapua ni yako inaonekana hata ndani ya ball

gaitor

okay, nimepata ni gaiter.

excess retreading

No the supporting inside wires and threads are torn apart leaving unsupported rubber. It is a fatory defect or just poor quality tires

Of course not! It’s an expectant one though.

Mashida za hizi wire zikikatika.

[ATTACH=full]206834[/ATTACH]

That’s a bomb right there, siezi karibia