Nikiwanga intern kampuni flani inakuanga upper hill kuna huyu dame nilipatananga na yeye. Huyu dame kuna venye alikuwa enyewe kusema ukweli alikuwa ametii tu sana. Alikuwa rangi ya thao, alikuwa mrefu tu vizuri height yenye napenda, ass nayo?? Wacha tu. Alikuwa na sura ingine ungeona ungechizi, alikuwa na miguu zingine slim tu vizuri yellow yellow nywele nayo ilikuwa well kempt. Alikuwa na lips zingine tu fiti unaskia ufike tu kando yake uanze kuzimumunya venye msee humumunya lolipop. Alikuwa akismile unawish angekuwa dame yako. Thighlando nayo?? Alikuanga anapendanga kuvaa zile short skirts zenye akikaa zinaenda above the thighs hapo TEAM MAFISI kama mimi tulikuwa tunasafisha macho sawa sawa inang’ara kabisa. Kuna kitu nilipata ikiwa strange na huyu dame kuna venye alikuwa alienated solo, hakukuwa na msee alikuanga anatupa lugha huko hadi madame wengine hawakuwa wanadai form yake. Sijui ni kwa nini. Wanaume walikuanga wakisafisha macho tu hawamdai. Dame alikuanga na meza yake pekee which of course ilinifanya nifikirie maybe yeye ni mkubwa wa hio department juu wasee walikuanga wakishare table juu zilikuanga biggy excess.
Akikam ngware yeye alikuwa akisalimia wasee na mdomo. Wakati wengine wanapeana hug na ma cheek kiss yeye ni mdomo na sikuwaijua ni kwa nini. Sikuulizia ni kwa nini juu nilifikiria maybe huyu dame alikuanga na maringo mob na attitude ndo maana wasee hawakuwa wanamsalimia. Mimi nikaona enyewe huyu dame ako fiti nikarusha lugha huko na nikaona alikuwa social sana. Nilikuanga naexpect akuwe hostile na maringo but alikuwa welcoming na social sana hadi nikashtuka sana. Nakumbuka hadi nilishare hiyo siku tuliexchange contacts so nikaenda home nikiwa nachat na yeye. Nikachat na yeye vizuri tukijuana alafu nikadoze. Kesho yake sikuendanga huko juu nilikuwa nashughulikia stuff flani za mzae na nilichapia mzae juu ya hiyo story na akanipea off. Day inafuata nikaishia ofisi kama kawa kufanya job nilikuwa nimepewa. Nilipatana na huyo dame tukahug nikaona hadi nikae na yeye juu enyewe hiyo chemistry ilikuwa imeanza kubuild vinoma sana. Ilikuanga ivo for the next two days. So after two days wakati wa kuenda home nilijaribu kukiss huyu dame after kumhug akadai
“Tall I am not ready for this there’s something you have to know”.
" What is it?" I followed. “You will know when the time is right”, nikasema sawa nikamhug nikamuacha aende home. Siku ya pili jibu ikawa ni hiyo hiyo nikashtuka kwani ni nini iyo anadai kunishow but nikaona sitaki niwe naharaka niturn off huyo dame nikacheza kama mimi.
Huyu dame niliapanga akieza nipea naeza kula hiyo kitu dry fry huyo alikuwa mtamu sana vile alikuwa anakaa hakuna haja ya CD. Kuna hii day tukiwa tumeenda lunch niliishia na maboyz flani wa huko nikaacha huyo dame kwa ofisi. Tukikula ndo nikaskia boyz flani akiniita " Oh yah tall umekula brownskin (apparently ivo ndo alikuanga amekuwa nicknamed)?"
“zii sijai ye hudai hayuko ready so mi huchorea”. Giddy boyz next akauliza “buda kuna kitu ingine ushaifanya na huyo dame, vitu kama mate na stuff?”. Nikashangaa mbona hawa wasee wananiuliza maswali ziko personal ivo. Nikawashow sijawai ile kitu tushaifanya ni kuhug pekee. Wakadai hata nisifikirie kufanya izo vitu wameuliza. Nikawauliza kwa nini wakanishow hapo nilikuwa nikicheza na live wire. Kuskia ivo nikadhani maybe ni dame ya boss na unajua ukimessingi na damw ya boss we unapigwa kalamu but juu mimi ni intern ningepewa maybe warning juu sikuwa kwa payroll yao. Nikaona wameshinda wameinsist juu ya hiyo story nikajua hapa kuna shida mahali. Nikiwauliza mbona wanashinda wakisema nacheza na stima saa nashindwa stima gani iyo na hamsemi. After lunch nikirudi ofisi nikapatana na madame wanafanyanga job huko tulikuanga nao ofisi moja nikaskia mmoja wao akidai “Tall naona hupendi maisha yako”,
“Unamaanisha nini ukisema sipendi maisha yangu?” I asked.
“Haiya kwani hujui? Hujaambiwa bado? Naona mapenzi imekufanya hadi huoni. Brownskin ni live wire.” Clearly sikuwa nabambika watu wakishinda wanaficha vitu.
“Unajua sielewi ni kwa nini watu wanashinda wakiongea in parable?”
“Sawa Tall, brownskin akona ngwe ngwe”.
SHIT all this made sense now. Why she was always neglected, why no dude wanted anything to do with her. She was infected with the killer virus. Nilishtuka sana juu ya hiyo story.
Sikuwai amini brownskin anaeza kuwa ako nayo. Since it was a Thursday sikudai kuconfront. Nililay low nikajifanya sijui any kuhusu hiyo story alafu tukamaliza siku. Kesho yake ngware before masaa ya kazi kuanza nilimchapia anishow ukweli juu enyewe hii story ilikuwa inakaa fiction kwangu. Niliona ni kama hao madame wengine walikuwa wanamchomea bure juu alikuanga mrembo kuwaliko.
“Hey why didn’t you tell me about your condition?”
“I wanted to tell you when the time is right Tall”.
“When was that gonna be?”
“Since you already know of it then I will tell you.”
“Okay am all ears”.
Nilisikiza story kuanzia mwanzo hadi mwisho. Hiyo story ilikuwa sad aisee. Yeye aliget akiwa mtoi ile form ya kunyonyeshwa. Unfortunately her mum had the virus and she didn’t know it. So alipata ivo. Mapero wake wote walidedi na ngwe ngwe na alikuwa akistay na aunty yake. It got me to the point of tears. Alisema iyo story akiwa analia sana. Ile machungu nilikuwa nayo ikaisha nikaifeel pain yake. Kwa ofisi alinishowing yeye alikuwa anakaanga peke yake juu hakuna msee alikuwa anadai ku associatr na yeye juu ya condition yake.
" That’s why I used to hesitate to kiss you incase you come the next day and say I want to kill you with the virus".
“Its okay I understand now”.
“So since umejua will you also behave like the others?”
“No. We will be friends like before.”
“Thanks Tall for understanding”, she said while drying up her tears with her handkerchief.
Niliona haingekuwa poa kuchorea story tulikwa nayo pamoja so nikaona tu tukuwe mabeste vile tulikuanga. She confessed to have liked me and would have liked to develop a relationship with me but her condition couldn’t allow her to. We continued being friends even after the internship period was over. The last time we talked she was travelling abroad to further her studies!!