Brothers beware don't trust too fast

So juzi nimeenda hapo nairobi kukamata changaa hapo(name withheld sitaki kuharibu sifa but iko along moi avenue).sasa kuna jamaa hapo tumemeet Mara kadhaa.siunajua wale mafriends Wa pombe.sasa Huyu alikuja akakaa karibu na Mimi kwa the same pub kama a week ago so sio eti no RAIA najua sana.na kulingana na job yangu lazima ukuwe social juu ata jobs mingi nimepata kwa club.sasa after kumeza tusker tatu.jamaa Fulani akamjoin.anakaa msafi but thugish,I like trusting my instincts.
So mastory kiasi nikawanunulia chupa moja moja.nikasema wacha nijitoe tutapatana Siku ingine.
Hapo hii nugu ikarukia story na kuita waiter akanishow ati kikabila yao(kisii)si poa ninunulie hai pombe alafu niwaache lazima warudishe mkono.hiyo statement haikuisha vizuri waiter ashaagizwa tusker mbili kwa bill ya Huyu kisii.haya thegere in nani letahiyo pombe.
Kukakaa kaa jamaa anaaza kunishow kuna ploti ya kuimport maelectricals sijui kutoka Dubai(Niko na kahardware Fulani ka Bibi kutoa ya nywele.)lakini mwenye andeal NAzO ni bicthes Fulani lakini waneza organize nimumeet.nikagree na kupeana number ya airtel
Ffwd.Jana ndio tulimeet na huyo dame.anaendesha premio black.hapo nilikuwa nimepewa no yake nimupigie hao majamaa watajoin baadaye.tukaeenda westlands tukifuatana na probox yangu.nikiwa njiani napigia manungu simu mnatoka pande gani wakanishow langata.hiyo mwingine nampigia na muuliza the same question ananishow wanatoka Zimmerman.hapo nikajua this guys are not legit.mbona unidanganye directions?
Nikafika Westland hapo kapub Fulani dame akapark hapo kando na Mimi nikapark kama Mita tatu in the opposite directions.tukakula,chupa mbili hivi akainisist kulipa.sasa am trying kufuata story ya hizi deals anadinda anasema wacha hawa wasee wafike wasiseme amewaruka deal tuongee wote wakiwa.namuuliza wanakaa wapi,akanishow sijui ni makuzo na wanakaa Karen na ni matajiri sana(lugha ya connmen)
Hapo nikajua hawa watu
wako na mpango ingine sio ya electricals
Nikajua siezi onesha Huyu bicth nimegundua hii sasa.nikaplay na script yake.majamaa wakingia juu tunawonea hapo kwa balcony ya bar.wanadrive Mercedes,think ndio wanimpress.sasa wamekuja wakiwa watatu.hapa nikajua kuna MTU atatest hii bonoko nilipewa na boinett wacha wajaribu upuzi.kuorder beers kama kumi kumi kwa meza.kukunywa mbili mmoja akomba dame funguo ya gari yake sijui afike kinoo.dame kuzua kiasi lakini akampea.hapo Niko Ritho na naona mahali nimepark yangu at a inzi ikiiguza naiona.akadrive lakini akapiga roundabout hapo juu kurudi tao.mwingine akjiexcuse akachukua Mercedes nakudai sijui aipeleke hapo ngara sijui iiuundwe nini.sasa tumeeachwa na mkisii na same.maufala za biashara haya hawajui.nawauliza by the way Dubai mnaendea vitu wapi.hawajui juu iknow kuna towns huko from my bro who had been there.so was just waiting for one one them to confirm nisikuwe nimekuwa over suspicious nimwage kitunguu.
Kisii guy nikaona ametextiwa lakini simu iko silent.kidogo akajitoa nikajua hapa sio kuzuri sasa macho imestick kwa gari.akatushow aende loo.dame ndio tumeeachwa na yeye anatry kuniseduce lakini nakaa.mgumu.
Sasa kumbe kuna trick unaweza fungulia mlango chini ya gari(mechanics affirm to that.am ain’t sure but I was told that what they did).nashituka kuona light mingi imeeingilia on the right side ya gari.kuchomoka mbio mbio dame na yeye anjaribu unifuata.nikaona ametoa simu nakualert hao.wakatoroka kabla nishuke stairs.kuenda nakuta gari ilikuwa inachomoanishwa mawya za ignition.mlango haijapikiwa iko sawa.bicthes tukamzuia na bouncers.ako karau kabete.
And that’s how I could have lost my probox.lakini inakaa rollsroyce ilikuwa imepostiwa hapa.think that’s why they were interested

43 Likes

Pole kaka. My grandfather used to say that all that glitters is not gold.

3 Likes

H

Haikua Rolls Royce origi, ilikua converted from Merc

Weuh! Pole haki. Thieves are becoming smarter by day.

Pole boss na chunga nyonyo.

1 Like

Mbisha ya seducer

1 Like

Pole kaka inaitwa system ya maja…majambazi.

Waaaah :eek::eek::eek::eek:

noma sana. Hii Nairobi ni mtu atembee akiwa amevuta aerial juu.

One thing you have done @muthige thegere is inform others we won’t be conned as thus described. Be blessed and keep your mind sharp as you did.

10 Likes

Pole enyewe instincts zingine husaidia

:smiley: :smiley: hatar sana. kumbe ata hungeona nzi ikiiguza

2 Likes

aye @Eng’iti naye okoibera abanto tata???

3 Likes

And why should police recruits, very important civil servants, be required to at least attain a D threshold…?

But failed to see them disconnect his car’s ignition circuit

2 Likes

And all golds kuna gold dust. …

kisiis, business;,bitches, money…wrong combination.

Deal Za bar sijawai tambua. Mutu anakuambia yeye ni owner wa shule, kidogo ni headmaster Kumbe ni messenger Kigogoine primary school…

Kuuliza tu: Na mbona ukaweka Hii story kwa sex and relationship. Ama juu mlikaa na dame 10min before mkisii aingie.

22 Likes

:D:D:DAti probox yako inakaa rollsroyce

1 Like

Noma sana. But why did they need to through all that if they can use that tactic of opening doors, ignition etc. Wanaeza pata any car kwa parking na waende nayo basi

3 Likes