Broken news-UoN

Babu Owino wins another term as SONU chairman.
Some buffoons seen causing mayhem outside UoN hapo anniversary, avoid unless necessary.
Government kickstarts plans to relocate UoN undergraduate students to Kitengela.
Pics ziko kwa flash ya elder statesman

3 Likes

Hao manyang’au wasukumwe El Adde.

2 Likes

Wapi ile vid ya competitor wake akipigwa ile slap ya “come-on”

1 Like

[ATTACH=full]35888[/ATTACH] [ATTACH=full]35889[/ATTACH]

3 Likes

Babu Owino bado anapanga kuwa shule? Si naskia ako 35yrs aende akuwe Sen. ama Govno?

1 Like

career student

1 Like

wapelekwe Isinya. Comrades riaaaaaah!

1 Like

Shainaman alijenga barabara bila mawe.:mad: Vioo vitavunjua na nini?

Ever traffic tarmac

Comrades Tialala!!

wanapelekwa Kite na vile wanajenga skyscraper kubwa?

1 Like