Bro Ya Johntezz Kudarwa Na Umati Karibia Awe Mwendazake

Jamaa alipata hadi shades natural kwa mecho.

image

11 Likes

Yutman amekuwa reconfigured hadi anakaa mchinku.

6 Likes

Amekua DIM EYE wa ukweli ili awache kutamani vitu za wenyewe. Huyu aliamka na Headache wazimu next day.

HE WILL LOVE D- HIS ENTIRE LIFE FOR SAVING HIS ASS

2 Likes

Hehe TOJ

Kuna gondi aliwahi shikwa massage style hii after stealing a power saw huko ocha kwetu. Gari ya polisi kufika hata kabla D- washuke kuanza infestigeshen jamaa alitoka mbio kama amedandia mahindra na kuamurisha dere waende fasta fasta. I have never seen a thief that glad to see the police.

4 Likes

Wangeweka chuma moto Kwa mkia

I support that. Thieves deserve no mercy

Tuliona 2017

Wezi wacha wafanyiwe full body massage. Kuna siku nilishuka mat niwekelee jambas mateke kadhaa na nilikuwa nimelipa.

Kabla @cortedivoire aamke kukunia kabla ya mamake