#bringbackwakanyama

So my @Wakanyama comes home jana amenung’unika anaitana tu gui, shaitan , gite akaniambia ati amefukuzwa kijiji na alikataa kula hata kunywa supuu na mutura niliagiza hapo bushery alipigia hio jamaa ingine wamakende kumuuliza hali ilivyo huko nje ya kijijiji na leo hata hajaeda kichijio na nyama kwisha kwa butchery ako tu hapa ananuna shaitan wao, sisi ni mabirrionare wa hii mtaa tutabankroll hii kitu yote na mambo ya harambee ikome admin #bringbackwakanyama
#bringbackwakanyama
#bringbackwakanyama

Huyu jamaa atapata depression haki

12 Likes

Namiss koboro za matusi yake! Ama house worming party ilikunyua mutukuru macho ikazimika???

So atarudi kama new villager? Asking for a friend ***

1 Like

Jay na Nef right now:D:D:D:D
[ATTACH=full]30374[/ATTACH]

13 Likes

Amepewa suspension ya siku ngapi kwa hii Ktalk High, na atarudi akiwa mono…can imagine Wakanyama akiwa joka, Nef will have the time of her life

:smiley:

Mimi sijui… Hata mimi ni NV

2 Likes

:D:D:Dnaona wakanyaks analia na vle alijifanya

Bringback wakanyama

Ngombee:mad::mad:

1 Like

A tribunal will be set up to look into his conduct.
:he objected to retirement at 70, claiming 70 is too young for a butcher
;he is accused of illeguly aquaring a plot meant for public utility, to expand his butchery.

3 Likes

Asante ya punda ni mateke kweli, yaani wewe Wakanyama u fought so hard for Lil Choti a.ka uweschokosh hadi u once went on strike for a chokosh and yet he cannot fight for u…u have to resort using your other handles…Know your real friends chokosh wakahomo

1 Like

utoto, ubitch na chokosh hapa juu ^^^ …heavens I’am leaving

https://images.rapgenius.com/3635230b21a2a6195b113ceb2c9b2548.592x296x46.gif

6 Likes

Niwakamue?

1 Like

Who is got the ban schedule? It seems like all great handles are taking the equator.

4 Likes

Yeah right, Mr. ‘Village Mongoose’

Yaani Lichoti’s likes were wiped out like an NYS bank account alafu he has been permanently put on zero trophy points :D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

2 Likes

:D:D:D:D:D:D:D:D

:D:D:D

Unadhani nikienda na zako pia @Nefertities would still be a ride or die bae to you or atahamia mwingine?

hehehe…

yaani watu wanafightia nefertities? all along najua she packs a magnum beteween those girly thighs. so ni dame,chali ama damechali?

3 Likes