Bring back our Kenya

http://www.nipate.com/download/file.php?id=3952

3 Likes

Ngoja ukujiwe na the 36 bloggers! Utakutiriwo hii styro kwanza hata kabla upumue…
[ATTACH=full]83853[/ATTACH]

20 Likes

huyu dem aletwe UFC 209

3 Likes

hapa, chukua yeye umsambe suplex za blankei

1 Like

na umeona vile ameamka ki champe aki follow up hiyo kick

1 Like

Umesahau kuweka 527/- for greater effect

3 Likes

Huyu ni ratchet wa hood. Lakini hiyo balance ni kama ile high school tukiwa boarding mtu ateleze kama amebeba uji ama chai. Anaanguka lakini uji inabaki yote kwa kikombe.

5 Likes

Hehehehe. Sasa siumuangukie kwanza alafu pengine itabadirishwo ikuwe 1533/-?

1 Like

Mumias ni makosa ya Kidero, a bag of maize was more than 2000bob, the dollar gained against alot of other currencies not just ours, mchele gani hio ya punch? Alafu elections Baba alisema ya 2013 ilikua uwizi in broad daylight.

5 Likes

And the Jubilee bloggers are still more than… Ama niwache tu.

Uhuru songa na mbele tujenge Kenya yetu!!!

HII NI UMEFFIIII

Mama Clichy akiona hii video, ajifunze hiyo move, wewe kwisaa

5 Likes

cheza chini jenelari

Ukiingia sosio mendia unaweza fikiria Kenya is in flames. Ati shilling ikuwe 70 to the dollar. Kwani watu wanaishi dunia gani. Sometimes I feel like punching people especially hawa macool kids wanafikiria contributing to a hashtag with memes and trying to be funny is the way to solve national issues. GROW THE FUUCK UP!!

9 Likes

Same old same old…,… whining

Ikue ata kes 150 iinue Kenyan exports. But fools with zero grasp on macro-economics will not know why I say so.

2 Likes

Hawajui venye watu wanaearn online venye we are celebrating…

3 Likes

Mama saitan , Alipita na watu hivyo kwa hii kijiji !

http://www.nipate.com/download/file.php?id=3952 Nasio tafadhali.

3 Likes