Manchester United fans , what excuse do you have today? Nimesikia mwingine akisema ati mlikua mnacheza na team mbili combined . Brighton & Hove Albion
Usicheke kilema.
Ngombe, unasumbua…
Bets zilichomeka. bloody bullchieth.
Tuondolee uocha hapa ghasia
Man U ni kama slayqueen. Inaweza kula pesa yako na itoroke.