Sindio LIEN
Ahaa MAN-U zupporter kumbe !
Arsenal are finding it hard
Mongoose hunanga akili
hiyo celebration ya Townsend bwana
Brighton kichwa wekeleeni
@LIEN atakuja time game imeisha, kazi yake hapa huwa ni kutusi tu manchester
Ronaldo alijam saidi
[MEDIA=twitter]1444294894894342147[/MEDIA]
Yaani after mocking him bado alifuata yeye kumcheka
Alimpatia jersey
Wapi Joh…!
:D:D:D hii ndio inaitwa usaitan… Kutafutia Mtu red card
wapi video?
ndio nimeland elders
Lien kwani hauna pesa ya gibleys ? Ungekua uliwekea team yako swara ichapwe bana
mimi niko na legend Crystal palace nowadayz
Ango hio ni club hopping…haiweskani.
Brighton was amazing the last season and now it’s even better