Bride Price

You have your remaining lifetime to pay my friend don’t worry

Done and dusted…next

You know what to do… seriously though, kama hajakuzalia wawili na yule mdogo akaenda boarding standard four or five usitambue hata mamake.

Yaani hapo Twitter people are advising the guy ati alipe polepole…anyway it depends with the guy.maybe the in-laws know he can manage that figure. Jaro soja si alipeleka ng’ombe lorry mbili…

Huko (of the rat famere ) itakula hiyo mbeca , si ulete nikufichie kwa shamba yangu yenye haina huko …

Unalipa mahari kwa mwanamke ambaye ni kunguru, utapata watoto wengine si wako na bado utakuwa ukinyimwa

:D:D:D

mahari inalipwa after third born child ameanza kuita baba na mama. Bei itakuwa imepungua hadi ile uko nayo.

Hehehe! Nimeweka Kwa mkebe ya chuma

you did a good thing, bride price is never paid in full at once. pay 50 bob, endelea kukamua

unafanya ikae nikama bibi ni malayah na shot moja ni 50 bob …:D:D:D… very below standard market coochie price too , if i may say so

Lipa mahari alafu ulete bibi Nairobi akamuliwe na caretaker na wasee wa nduthi free of charge:D:D:D