Mkuu wetu MAGUFULI atatembelea eneo tofauti huko kwenu Kenya. Akitua kesho mueke live feeds hapa.
mwalimu, LIVE FEEDS ni nini kwa kiswahili
Kaka, natumai kesho utakuwa kayole kwani atajaribu kutatua changamoto linalokabidhi sehemu lenu
Ishi kwa mlo
magufuli ndio beer ama mzinga?
Hata kama mimi si mswahili, ‘sehemu lenu’ ndiyo nini? “changamoto linalokabidhi” - huyu si mtanzania!
Bingwa hamna dadu, pekuze si wewe tuu
How is this breaking news?
It has been in the news the idiot is coming since last week.
'If the mountain will not come to Muhammad, then Muhammad must go to the mountain ’
Magufuli hoyee. Karibu sana Rais mpendwa wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania.
Wannabe!.. pole