Egerton university bana kumechomeka for the past one hour na Hakuna zima moto[ATTACH=full]193048[/ATTACH][ATTACH=full]193049[/ATTACH]
Shait! i wonder what / how it started.
Ama wamenyimwa reakage?
Saa hii ni first years, engineers na wasee wa med wako shule. so sidhani ni students
hiyo ndio actual fire inakaa kama iko cowshed? kwani hawajui kuchoma kama Sipri-ann au ngi-loo?
Mwalimu Gashui tulia. Hio ni ofisi ya custodian na store ya mattress
Lakini pia si Egerton imejaa ng’ombe tu. from the Admin to students
VC suspended by council on graft allegations. DVC refuses to become acting Vc,
Ngoja upatwe na alumni Wa huko. Hehe
ni mwalimu wa hizo ng’ombe so he must know what he’s talking about:D
Anawafunza AI ?
Moto ya mattress huwa mambo bad.
They should ask ole lenku about it Aki.
Mambo byad.
:D:Di like the levity.
Aki rudi ulale, chenye umevuta sio poa
[ATTACH=full]193050[/ATTACH]
A-rtificial
I-inteligence
Apana, (bull) fighting skills…
Aiseee :D:D:D:D:D
Following from a distance.
Kuja nikufanyie practical ya AI