tungeshtua aje magufuli na atakataa aseme tunajaribu kuiba hewa ya wa TZ ilhali tunwasaidia tu
@introvert letea hi NV Bedford.
keti paleeee…stoooooopeed
hataelewa, hiyo ni kupoteza wakati
its not my mother tongue language so ,why should I even bother myself with it as if its something that I can’t survive without it…
only a failed state can look upon Kenya as its model of real development…
by the way labda mtufunze tribalism and twitter trolls za kutukana nchi nyinginezo
hii ndio maana TZ mko nyuma, kama wa America wanajifunza Chinese nyinyi ni nani kubaki na swahili pekee. Ndio maana mtaendelea kuamini Uchawi na kuchukia waKenya kwa vitu wamewashinda. Baki hapo magufuli amalizane na nyinyi mrudi zile enzi za Nyerere kuwaambia hakuna haja muende London sababu hapa tu Nairobi inatosha kuwaonyesha vile Jiji laweza kustawi
Usi muudhi huyu, akikasirika atajitia kitanzi!
Sometimes it is smarter to just shut up. The chip on your shoulder is jutting out dangerously.
Magufool is breeding bitter malcontents.
lazima waambiwe ukweli wawache chuki hazina msingi. Hata wakijitoa EAC nchi zingine zitaendelea zaidi. Wanarudisha East Africa Nyuma
Am only surprised they didn’t find a way of blaming it on Kenya.
Unasema nini?
For someone who wouldn’t bother himself with it, you’re using it to argue with citizens of the so-called ‘failed state’ .
@Mtanzania Magufuli @Kamu nini hii mnauza Dar?
[ATTACH=full]56961[/ATTACH]
washamba kweli
http://www.kenyatalk.com/index.php?attachments/magfool-jpg.56961/
The TATA will not do, neither will the kicking ass or the big fish on a small hook.
This calls for a completely new tool: the Mother Tongue Language (MTL) executable, or mtl.exe. It parses sentences letter by letter and shuts down the system for 24 hours if the error cannot be rectified.
Huu picha tuliuona 2004 kwa jamii forum. Nakuru mattress wakijaribu kutu ka’anga na mafuta ya stima
because that’s what you ar good at apart from z unknown sheng…
you are not capable enough to understand my “swahili”… better
Just because you know better Swahili doesn’t give you the licence to massacre English, stick to what you know best, you may educate us. But the last time I checked you had the same challenge any other person in Kenya has with Swahili.
SISI NI WATANZANIA . …
si kila kifanywacho na Amerika ni lazma tukifuate na hata hivyo Chinese sessions hata TZ zipo… sasa sijui una maana gani
tatizo lenu hamna standards as a nation… whatever regarded as good by whites is also good for a Kenyan…
pathetic
hivi kama unaamini katika language supremacy , hiyo elimu yako imekusaidia nini !!!..
By the way after Nai inakuja dar katika ukanda huu nd guess you already know , which city btn them is growing faster than the other …
hii sio Uganda wala Rwanda ni Tanzania
you ain’t a shit that worth a talk in Tz na hata hamna umuhimu kwetu …
magufuli NI wetu… just continue with your very own famous criminal , an heir of a true tribalist and a real bandit of your land “Kenyatta”…
nenda jf utafute kama kuna thread inayomuhusu Kenyatta …ila ninyi na magufuli kama amewaibia ardhi yenu
watz hawana time nanyi ila wakenya bila kuwataja watz…ktalk haichangamki.
guess u’ve already know who is more obsessed than the other
wacha ku catch feelings. Enda ukatembelee Mchawi akuonyeshe nani anatakia familia yako mabaya