breaking news!!!!breaking news!!!

Am back!!!safari za mbali mbali…a tick on my bucket list…next stop Machu Pichu…we live once.

nikajua bonge la habari daaa nyie jamaa bana haya tutawazoea tu

Hii punda ulikula leo lunch kwani ilikuwa na pepo punda.

Huku nako kuna watoto washule? kwani shule hazijafungwa?

Childish.

Admin awawekee jukwaa la utani.

Jinga

Trollers kwa kiswahili ni gani magufuli?

on my “places to visit” list and tiwanaku should be on you list to

Jukwa la utani=Jokes Forum

Jokers forum.
Kiswahili chako kiko chini sana.

Sure???I will have a look at it…what about Naska lines in Peru???though naskia lazima ukuwe na a deep pocket

Hahahahaaaaaa

those dont excite me like the two

big up son

Umekuwa mod tangu lini?

Uuwii.
Afadhali ata Kiswahili ya Jaruo.

kwenda leta evidence, ata picha ya upepo ya uko ni sawa pia

[ATTACH=full]175551[/ATTACH]