BREAKING NEWS. BOBMILL Mombasa Road Factory Catches Fire

More to follow.
US factory fires zimefika Africa sasa. Environmentalists watamalisa Sisi.

Biashara ya muhindi lazima ichomeke at least once every five years. Haezi pea insurance company pesa za bure.

Watu wamechoka na uchumi sasa ni time ya cashing out wajitoe.

Ni kawaida ya bobmil kuchoma viwanda vyao biashara ikiwaendea segemnege.
Ya Nairobi ilichomeka vivyo hivyo iliyokuwa hapo karibu na panari miaka kadhaa iliyopita.

THat factory looked congested

Fake kenyatalk birrionares wanaeza kua jobless industrial area kukichomeka… Heshimu Patel!