Keter ako inje.
Muthamaki hacheki na watu…halafu afungwe juu ya ile saga ya CBK.
Watu watatii.
(prediction made at 11.20am, before the ruling).
Keter ako inje.
Muthamaki hacheki na watu…halafu afungwe juu ya ile saga ya CBK.
Watu watatii.
(prediction made at 11.20am, before the ruling).
muache kusumbua matapaaka.
Coomernina!
Ha ha ha ha ha!
Si nimewambia? Keter OUT!
Nandi hills mp has just lost his seat in an election petition!
when it rains, it pours.
Ugenya mp Chris Karan is also out.
Kenya will remain to be kenya.
Wat?but pia hako kajamaa kanapanganga sana.kanabishana na wadosi
He he he, wapi ule jama alisema the government is walking around with a big hammer, hakuna kubeba kichwa. Something to keep Keter occupied.
BREAKING: Nandi Hills MP Alfred Keter’s election nullified
Mambo ni bad.
Ndio maana alikuwa ameenda CBK kupora hehehe
Alishindana na ndovu read WSR kunya
Some tough times for this lad
when it rains, it pours!
atarudi tu, saa mbili asbuhi
From here thing will be down hill for our friend.
unless na chama ingine, Jubilee hapati.
Keter na ile wahindi yake wa CBK scandal wafungwe vizuri sasa. Starting na ile mhindi mama alikuwa nayo kwa ile Gilgil weighbridge saga. For those who forgot rink ndio hio
Wapi ile picha ya hyena eating it’s cub
@Mundu Mulosi , merge this three threads.
Sasa let’s see where he will go, he can forget the jubilee party ticket. Let him try kanu in the middle of Nandi county and be taught a lesson.